Translate

Wednesday, February 25, 2015

SOMA HUU UJUMBE BILA KUKOSA

SOMA HUU UJUMBE BILA KUKOSA
Kuna baadhi ya LEVEL huwezi kufika...Kuna MAFANIKIO huwezi kuyafikia...Kuna HELA huwezi kuzipata...Kama umezungukwa na watu BASIC...
Kuanzia asubuhi mpaka jioni wanaongelea WATU TU..Fulani kamegwa na yule..halafu yule naniliu saivi anatembea na yule ex wa nanii...Asubuhi mpaka jioni DISCUSSING PEOPLE...Hawa ndio watu BASIC...Hata siku 1 hawatakupa Ushauri kuhusu HOW TO REACH SOMEWHERE...NEVER
Na ukionekana unaanza kufanya vitu EPIC watakugeuka kwamba UNARINGA..UNAJISIKIA..UMEWATENGA...UNAJIDAI UNA HELA...and lots of bullshit...
Pengine ulipaswa kuwa mbaaalii kibiashara lakini HUWEZI coz umezungukwa n Mbaazi tupu...BASIC PEOPLE...Ukiwaambia umesikia Kiwanja kinauzwa Kigamboni wanakwambia Kigamboni watu wanatapeliwa kuna mradi wa Joji Bushi...Ukiwambia unataka kujiunga TREVO wanakwambia UNALIWA HELA...Ukiwaambia kuna SACCOSS wanatoa mikopo unataka uchukue ujenge wanakwambia INTEREST ZAKE UTASHINDWA na kujenga sio mchezo shosti..Unaamini unaacha!...Nataka kufanya Kitu flani WANAKUKATISHA TAMAA
Unahitaji kuzungukwa na watu wenye POSITIVE ENERGY ambao ukiwambia unataka kwenda Mbinguni kwa kupitia Mkuranga wanakuchangia Nauli...Niliposema na mpango wa kazi watu ohh utakula nini..utaishije...Mji Mgumu huu..Wenzio wanatafuta kazi we unaacha utalosti...WHO SAID??Nitadunda kama kawa..gari inatembea kama kawa na Business zinaenda kama kawa...NEGATIVE PEOPLE WILL BRING U DOWN....Ukitaka Kupaa kaa karibu na ndege...We unataka kupaa unakuwa rafiki wa Nyangumi...UNAZAMISHWA SASA HIVI!!
Tangu nianze kukaa na watu Positive I have changed a lot...Nikiwaza jambo wanauliza HOW DO WE ACHIEVE THIS na sio FULANI ALIWAHIFANYA HII AKAFELI..
Ikikusaidia Chukua..
KILL ALL NEGATIVE PEOPLE AROUND YOU kama unataka kufikia Malengo Makubwa, I will be ur Lawyer at the Court na mwambie Hakimu nilikutuma mimi!
TIME TO DELETE ALL BASIC PEOPLEî„…
  



 Heey, Forever Je truely kufanya ndoto yako kweli kama wewe tu Kubali Nafasi hii.



Je, Wajua Kwamba Unaweza Pia kuwa na Sifa na kupata nafasi ya kupata Forever2Drive gari Incentive.??



Je, binafsi mipango ya kuanza kufanya biashara na hii kampuni mwezi ujao unayo..??,



Nani anajua ..., Unaweza Anza Leo na Baada ya 3 Mwezi utakuwa kufuzu kwa Incentive Forever2Drive.



Angalia hii Video Short jinsi Amazing na Wikipedia inaweza Kuwa.


No comments: